-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hukuniletea wana-kondoo kuwa kafara zako, wala hukuniheshimu kwa dhabihu zako. Sikukutumikisha kwa matoleo, wala sikukuchosha kwa ubani.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
21, 22. (a) Kwa nini inaweza kusemwa kwamba matakwa ya Yehova si mzigo? (b) Ni kwa njia gani watu hao ni kama wanamlazimisha Yehova awatumikie?
21 Anaposema, “Sikukutumikisha kwa matoleo, wala sikukuchosha kwa ubani,” Yehova hatoi wazo la kwamba dhabihu na ubani (sehemu mojawapo ya uvumba mtakatifu) hazihitajiwi. Kwa kweli, hizo ni sehemu muhimu ya ibada ya kweli chini ya agano la Sheria.
-