-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Shamba la Mizabibu na Mmilikaji Wake
6, 7. (a) Ni nani aliye mmilikaji wa shamba la mizabibu, na shamba la mizabibu ni nini? (b) Mmilikaji aomba hukumu gani ifanywe?
6 Mmilikaji ni nani, nalo shamba la mizabibu ni nini? Mmilikaji wa shamba la mizabibu ajibu maswali hayo anaposema: “Sasa, enyi wenyeji wa Yerusalemu, nanyi watu wa Yuda, amueni, nawasihi, kati ya mimi na shamba langu la mizabibu.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
7 Naam, Yehova ndiye mmilikaji wa shamba hilo la mizabibu, naye ni kama mtu anayeenda mahakamani, akitaka hukumu itolewe kati yake na shamba lake la mizabibu linalokatisha tamaa.
-