Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Nidhamu Yatokeza Matunda

      23. (a) Kwa nini nidhamu ya Yehova inastahiliwa sana? (b) Ni nini kinachohusika katika tendo la Mungu la kutia Israeli nidhamu?

      23 Ingawa nidhamu ya Yehova ni kali, na inastahili kuwa hivyo, inatimiza matokeo yaliyotakiwa, kufanya rehema iwezekane. “Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 43:25

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 24. Ni kwa msingi gani Yehova atasamehe watu wake—wa kale na wa kisasa—lakini yeye ana hisia zipi kuwaelekea?

      24 Ingawa hivyo, ona kwamba rehema ya kimungu haitapatikana kwa sababu ya kusikitika kwa Israeli tu; itakuwa kwa ajili ya Yehova mwenyewe. Ndiyo, jina lake linahusika. Kama angeacha Israeli kwenye uhamisho wa kudumu, jina lake mwenyewe lingesutwa na watazamaji. (Zaburi 79:9; Ezekieli 20:8-10) Leo vilevile, umuhimu wa wokovu wa wanadamu ni mdogo kuliko umuhimu wa kutakaswa kwa jina la Yehova na kutetewa kwa enzi yake kuu. Hata hivyo, Yehova huwapenda wale wanaokubali nidhamu yake bila moyo nusunusu, na kumwabudu kwa roho na kweli. Wawe ni watiwa-mafuta au kondoo wengine, yeye huwaonyesha upendo wake kwa kufuta makosa yao kwa msingi wa dhabihu ya Yesu Kristo.—Yohana 3:16; 4:23, 24.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki