-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kwa hiyo nitawatia unajisi wakuu wa patakatifu, nami nitamfanya Yakobo kuwalaani [“kama mtu wa kuharibiwa,” “NW”], na Israeli kuwa tukano.” (Isaya 43:25-28)
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Basi Yehova naye atalitoa taifa lake zima liingie katika ‘uharibifu’ na “tukano.” Pia atawatia unajisi wote wanaofanya kazi rasmi kwenye “patakatifu” pake.
-