-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
5, 6. Yehova anampa Israeli viburudisho gani, na tokeo ni nini?
5 Maneno ya Yehova yanayofuata yanaburudisha kama nini! Anasema hivi: “Nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao utakaowazaa;
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata katika nchi kavu yenye joto, miti inaweza kusitawi pamoja kwa mfuatano kando ya chemchemi za maji. Yehova atakapoandaa maji yake mengi ya ukweli yanayowapa watu uhai, akimimina pia roho yake takatifu, Israeli atasitawi sana, kama miti kandokando ya mitaro ya maji ya kulimia. (Zaburi 1:3; Yeremia 17:7, 8) Yehova atawatia nguvu watu wake wamalize kazi yao ya kuwa mashahidi wa Uungu wake.
-