-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naye ni nani kama mimi atakayeita, na kuyahubiri haya, na kunitengenezea, tangu nilipowaweka watu wa kale? na mambo yanayokuja na yatakayotokea, wayatangaze.
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
8 Yehova anatokeza ushindani kwamba miungu ijitetee. Je, wanaweza kutaja mambo yasiyokuwako kana kwamba yamekuwako, kuyatabiri yajayo kwa usahihi hata ionekane ni kama tayari yanatendeka?
-