-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
12, 13. Kwa nini mwanadamu hawezi kuunda mfano wowote unaostahili kuabudiwa?
12 Je, kitu halisi kinaweza kupata utakatifu kwa njia fulani eti kwa sababu kimeundwa ili kiabudiwe? Isaya anatukumbusha kwamba kutengeneza mfano ni kazi ya binadamu tu. Vyombo na maarifa yanayotumiwa na mtengeneza-mifano ni sawa na vile vya fundi mwingine yeyote:
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Seremala hunyosha uzi; huiandika kwa kalamu ya mate; huitengeneza kwa randa, huiandika kwa bikari, huifanza kwa mfano wa mwanadamu, sawasawa na uzuri wa mwanadamu, ili ikae nyumbani.”—Isaya 44:12, 13.
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ule mfano anaotengeneza huenda ukafanana na mwanadamu. Huenda hata ukawa maridadi. Lakini hauna uhai. Mifano si miungu kamwe. Isitoshe, hakuna mfano wowote wa kuchongwa ambao umewahi ‘kuanguka kutoka mbinguni,’ kana kwamba aliyeutengeneza si mwanadamu anayekufa.—Matendo 19:35.
-