-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Watu wanawezaje kuabudu sanamu zisizo hai? Isaya anaonyesha kwamba tatizo halisi limo moyoni mwa mtu: “Hawajui wala hawafikiri; maana amewafumba macho, wasione, na mioyo yao, wasiweze kufahamu.
-