-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Haya basi, sasa nitawaambieni nitakalolitenda shamba langu la mizabibu; nitaondoa kitalu [“ua wa miti,” “NW”] chake, nalo litaliwa; nitabomoa ukuta wake, nalo litakanyagwa.”—Isaya 5:3-5.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Pia, ajenga ukuta wa mawe ili kuyazunguka matuta ya shamba hilo la mizabibu. (Isaya 5:5) Mara nyingi hilo lilifanywa ili kuzuia mmomonyoko wa udongo wa juu ulio muhimu.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
9. Yehova amelitunzaje taifa lake kama shamba la mizabibu lenye kuthaminiwa?
9 Yehova ‘alilipanda’ taifa lake katika nchi ya Kanaani na kuwapa sheria na kanuni zake, zilizokuwa kama ukuta wa kuwalinda ili mataifa mengine yasiwafisidi. (Kutoka 19:5, 6; Zaburi 147:19, 20; Waefeso 2:14)
-