Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mungu wa Kweli Anatabiri Ukombozi
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 17. Israeli anapaswa kukumbuka nini sana?

      17 Kisha Yehova anawasihi Waisraeli wakumbuke kwamba wamo katika cheo chenye pendeleo na daraka. Wao ni mashahidi wake! Anasema hivi: “Kumbuka haya, Ee Yakobo; nawe Israeli, maana wewe u mtumishi wangu; nimekuumba; u mtumishi wangu; Ee Israeli, hutasahauliwa na mimi.

  • Mungu wa Kweli Anatabiri Ukombozi
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 44:21

  • Mungu wa Kweli Anatabiri Ukombozi
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 18. (a) Kwa nini Israeli ana sababu ya kushangilia? (b) Watumishi wa Yehova wanaweza kuigaje kielelezo chake cha rehema leo?

      18 Si Israeli aliyemfanyiza Yehova. Yeye si mungu wa kutengenezwa na mwanadamu. Bali, Yehova ndiye aliyemfanyiza Israeli kuwa mtumishi wake mteule. Naye atathibitisha Uungu wake tena atakapolikomboa taifa hilo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki