-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
nilithibitishaye neno la mtumishi wangu, na kuyafikiliza mashauri ya wajumbe wangu; niuambiaye Yerusalemu, Utakaliwa na watu, nayo miji ya Yuda, Itajengwa, nami nitapainua mahali pake palipobomoka;
-
-
Mungu wa Kweli Anatabiri UkomboziUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
21. Maneno ya Yehova yanaandaa uhakikisho gani?
21 Ndiyo, si kwamba Yehova ana uwezo wa kutabiri matukio ya wakati ujao tu, bali pia ana uwezo wa kutimiza kusudi lake lote lililofunuliwa. Tangazo hili litawapa Israeli tumaini. Huo ni uhakikisho kamili kwamba majeshi ya Babiloni yajapoiacha nchi ukiwa, Yerusalemu na majiji yanayoitegemea itainuka tena, na ibada ya kweli itasimamishwa upya huko.
-