Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Yehova Hukunjua Rehema Yake

      23. Kuna matokeo gani kwa wale wanaoabudu sanamu, na wale wanaomwabudu Yehova wanakuwa na hali gani?

      23 Wokovu wa Israeli unakaziwa katika maneno ya Yehova yanayofuata: “Jikusanyeni mje; na kukaribia pamoja, ninyi wa mataifa mliookoka; hawana maarifa wale wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga; wamwombao mungu asiyeweza kuokoa.

  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 45:20,

  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Yehova anawaagiza ‘waliookoka’ waulinganishe wokovu wao na kile kinachowapata wanaoabudu sanamu. (Kumbukumbu la Torati 30:3; Yeremia 29:14; 50:28) Kwa sababu waabudu-sanamu husali na kutumikia miungu hoi isiyoweza kuwaokoa, “hawana maarifa.” Ibada yao ni ya bure—bure bilashi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki