Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwisho Wenye Kutazamisha wa Dini ya Uwongo Waonekana Kimbele
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Ukasema, Mimi nitakuwa bibi [“Bi-Mkubwa,” “NW”] milele; hata hukuyatia hayo moyoni mwako, wala hukukumbuka mwisho wa mambo hayo.” (Isaya 47:6b, 7)

  • Mwisho Wenye Kutazamisha wa Dini ya Uwongo Waonekana Kimbele
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 11 Babiloni hatambui kwamba amewashika Wayahudi kwa muda tu. Ameyapuuza maonyo ya Isaya yasemayo kuwa wakati utawadia Yehova awaweke huru watu wake. Babiloni anatenda kana kwamba ni haki yake kuwatawala Wayahudi daima na kubakia milele akiwa bi-mkubwa anayesimamia mataifa yaliyo vibaraka vyake. Anakataa kuusikiza ujumbe wa kwamba utawala wake mwonevu utafika “mwisho”!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki