-
Yehova Hutufundisha kwa Faida YetuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.” (Isaya 48:10, 11)
-
-
Yehova Hutufundisha kwa Faida YetuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wajapokuwa na mtazamo wa uasi, Yehova hakuliangamiza taifa hilo wakati huo, wala sasa hataliangamiza litokomee. Kwa njia hiyo jina lake na heshima yake zitatukuzwa. Kama watu wake wangeangamizwa na Wababiloni, yeye hangetimiza agano lake, na hapo jina lake lingetiwa unajisi. Ingeonekana kana kwamba Mungu wa Israeli amekuwa hoi asiweze kuwaokoa watu wake.—Ezekieli 20:9.
-