-
Yehova Hutufundisha kwa Faida YetuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naam, mkono wangu umeuweka msingi wa dunia, na mkono wangu wa kuume umezitanda mbingu; niziitapo husimama pamoja.” (Isaya 48:12, 13)
-
-
Yehova Hutufundisha kwa Faida YetuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yeye ndiye Mkuu Zaidi, Wa Milele, na Muumba. “Mkono” wake, yaani nguvu zake zikiwa katika hali ya kutumika, ndio ulioikaza dunia na kuzitandaza mbingu zenye nyota. (Ayubu 38:4; Zaburi 102:25) Anapoviita vitu alivyoviumba, vitu hivyo husimama chonjo, tayari kumtumikia.—Zaburi 147:4.
-