-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
25, 26. Isaya afunua hali gani mbovu ya kufikiri kwa Waisraeli katika ole wa tatu na wa nne?
25 Sasa sikiliza ole wa tatu na wa nne wa Isaya: “Ole wao wavutao uovu kwa kamba za ubatili, na dhambi kama kwa kamba za gari!
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
26 Hiyo yawafafanua kinaganaga kama nini wale wanaozoea dhambi! Wameshikamana na dhambi kama vile wanyama wavutao mizigo wanavyofungwa kwenye magari.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
[Picha katika ukurasa wa 83]
Mtenda-dhambi ameshikamana na dhambi kama vile mnyama avutaye mizigo anavyofungwa kwenye gari
-