Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hutufundisha kwa Faida Yetu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • ‘Haya, Tokeni Katika Babeli!’

      22. Wayahudi waaminifu wanahimizwa kufanya nini, na wanahakikishiwa mambo gani?

      22 Babiloni atakapoanguka, je, Wayahudi wowote wataonyesha hali ifaayo ya moyoni? Je, watajifaidi na ukombozi wa Mungu, warudie nchi yao, na kuirudisha ibada safi? Ndiyo. Maneno ya Yehova yanayofuata yanaonyesha kwamba ana hakika itakuwa hivyo. “Haya, tokeni katika Babeli, kimbieni kutoka kwa Wakaldayo; hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, yatamkeni mpaka mwisho wa dunia, semeni, BWANA amemkomboa mtumishi wake, Yakobo.

  • Yehova Hutufundisha kwa Faida Yetu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 48:20,

  • Yehova Hutufundisha kwa Faida Yetu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Watu wa Yehova wanahimizwa kiunabii waondoke Babiloni bila kukawia. (Yeremia 50:8) Ukombozi wao ni lazima ujulishwe hadi miisho ya dunia. (Yeremia 31:10)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki