-
Yehova Hutufundisha kwa Faida YetuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wala hawakuona kiu alipowaongoza jangwani; alitoa maji katika mwamba kwa ajili yao; pia akaupasua mwamba, maji yakatoka kwa nguvu.” (Isaya 48:20, 21)
-
-
Yehova Hutufundisha kwa Faida YetuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Baada ya lile tukio la Kutoka Misri, Yehova aliwaruzuku watu wake walipokuwa wakipita katika nchi zenye jangwa. Na atawaruzuku watu wake hali kadhalika washikapo njia ya kurudi nyumbani kutoka Babiloni.—Kumbukumbu la Torati 8:15, 16.
-