-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wasema, Na afanye haraka, aihimize kazi yake, tupate kuiona; na likaribie shauri lake aliye Mtakatifu wa Israeli, tupate kuliona.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Watenda-dhambi hao hawaogopi siku yoyote ya hukumu inayokuja. Wao wasema kwa dhihaka: “[Mungu] na . . . aihimize kazi yake”!
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Badala ya kumdhihaki Mungu na kupoteza ufahamu wa siku ya hukumu inayokuja, Wakristo hujitahidi kudumu “bila doa na bila waa” mbele za Yehova.—2 Petro 3:14; Wagalatia 6:7, 8.
-