Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!”—Isaya 5:18-20.

  • Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Badala ya kuitii Sheria ya Mungu, wao hupotoa mambo, wakitangaza kuwa “uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu.”—Linganisha Yeremia 6:15; 2 Petro 3:3-7.

      27. Wakristo leo waweza kuepukaje mtazamo kama ule wa Waisraeli?

      27 Ni lazima Wakristo leo waepuke kabisa-kabisa mtazamo kama huo. Kwa kielelezo, wao huyakataa maoni ya ulimwengu yanayosema kwamba uasherati na ugoni-jinsia-moja ni sawa. (Waefeso 4:18, 19)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki