-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
28. Ni dhambi gani zinazoshutumiwa katika ole za mwisho za Isaya, na Wakristo leo waweza kuepukaje dhambi kama hizo?
28 Kwa kufaa basi, Isaya aongeza ole hizi za mwisho: “Ole wao walio wenye hekima katika macho yao wenyewe, na wenye busara katika fikira zao wenyewe!
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yamkini waamuzi katika nchi hiyo ndio walioambiwa maneno hayo. Wazee wa kutaniko leo huepuka kuwa “wenye hekima katika macho yao wenyewe.” Wao hukubali kwa unyenyekevu shauri kutoka kwa wazee wenzao nao hushikamana kabisa na maagizo ya tengenezo. (Mithali 1:5; 1 Wakorintho 14:33)
-