Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Haki yangu i karibu, wokovu wangu umekuwa wazi, na mikono yangu itawahukumu kabila za watu; visiwa vitaningoja, navyo vitautumainia mkono wangu.”—Isaya 51:4, 5.

  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Yeye ndiye Hakimu anayekata kauli ya mwisho kuhusu wanadamu. Sheria na maamuzi ya hukumu zitokazo kwa Yehova ni nuru kwa wale wanaojiruhusu waongozwe nazo.—Zaburi 43:3; 119:105; Mithali 6:23.

      9. Licha ya watu wa agano la Mungu, ni nani watakaonufaika na vitendo vya Yehova vya kuokoa?

      9 Yote hayo yatawahusu watu wenye mwelekeo ufaao kila mahali, wala si watu wa agano la Mungu peke yao. Yatawahusu hata wale walio katika visiwa vya mbali kabisa baharini. Tumaini lao katika Mungu na uwezo wake wa kuwatetea na kuwaokoa watumishi wake waaminifu halitakatishwa tamaa. Uhodari au uwezo wake unaofananishwa na mkono wake ni hakika; hauwezi kuzimwa na mtu yeyote. (Isaya 40:10; Luka 1:51, 52) Vivyo hivyo leo, kazi ya kuhubiri kwa bidii inayofanywa na washiriki waliobaki wa Israeli wa Mungu imeongoza mamilioni ya watu kumgeukia Yehova na kumwamini, wengi wao wakiwa wa visiwa vya mbali baharini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki