-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
wampao haki mwenye uovu, ili wapewe ijara, na kumwondolea mwenye haki haki yake!” (Isaya 5:21-23) Yamkini waamuzi katika nchi hiyo ndio walioambiwa maneno hayo.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wazee pia huepuka kabisa kuonekana kuwa wenye kupendelea. (Yakobo 2:9) Wazee hao ni tofauti kama nini na makasisi wa Jumuiya ya Wakristo! Makasisi wengi huficha watenda-dhambi mashuhuri na wenye mali miongoni mwao, kinyume kabisa cha maonyo ya mtume Paulo katika Waroma 1:18, 26, 27; 1 Wakorintho 6:9, 10; na Waefeso 5:3-5.
-