Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Ukamsahau BWANA, Muumba wako, yeye aliyezitanda mbingu, na kuiweka misingi ya dunia; nawe unaogopa daima mchana kutwa kwa sababu ya ghadhabu yake yeye aoneaye, hapo afanyapo tayari kuharibu; nayo i wapi ghadhabu yake aoneaye [“yule anayekusonga,” “NW”]?” (Isaya 51:12, 13) Miaka mingi ya kukaa uhamishoni inakuja. Hata hivyo, hakuna sababu ya kuiogopa hasira kali ya Babiloni. Ingawa taifa hilo, lililo serikali kubwa ya tatu ya ulimwengu kulingana na maandishi ya Biblia, litawashinda watu wa Mungu na kutaka ‘kuwasonga,’ au kuwazuia wasiponyoke, Wayahudi waaminifu wanajua Yehova ametabiri kwamba Babiloni itaanguka mikononi mwa Koreshi. (Isaya 44:8, 24-28)

  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Vitisho vyao na hasira yao kali vitakuwa wapi wakati huo? Hivyo basi, kumwogopa mwanadamu na kumsahau Yehova, aliyezifanya mbingu na dunia, ni ukosefu wa hekima kama nini!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki