-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Atangaza hivi: “[Yehova] atawatwekea bendera mataifa toka mbali, naye atawapigia miunzi tokea mwisho wa nchi; na tazama, watakuja mbio mbio upesi sana.”—Isaya 5:26; Kumbukumbu la Torati 28:49; Yeremia 5:15.
30. Ni nani atakayekusanya “taifa kubwa” dhidi ya watu wa Yehova, na matokeo yatakuwaje?
30 Nyakati za kale, mhimili uliokuwa mahali palipoinuka ungalikuwa kama “bendera [“ishara,” NW],” au kama mahali pa kukusanyika, kwa watu au majeshi. (Linganisha Isaya 18:3; Yeremia 51:27.) Sasa Yehova mwenyewe atakusanya “mataifa [“taifa kubwa,” NW]” ili litekeleze hukumu yake.b ‘Atalipigia miunzi,’ yaani, atageuza fikira za taifa hilo kwa watu wake waliopotoka ambao ni kama chombo kinachostahili kutekwa.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
b Katika unabii mwingine mbalimbali, Isaya atambulisha Babiloni kuwa taifa linalotekeleza hukumu ya Yehova yenye kuangamiza dhidi ya Yuda.
-