Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • nami nitakitia mikononi mwao wakutesao; waliokuambia nafsi yako, Inama, tupate kupita; nawe uliufanya mgongo wako kuwa kama nchi, na kama njia, kwa hao wapitao juu yake.” (Isaya 51:21-23)

  • Faraja kwa Watu wa Mungu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Bali, Yerusalemu atapokonywa kikombe hicho wapewe wale walioishangilia aibu yake. (Maombolezo 4:21, 22) Babiloni atadondoka chini, yu mlevi wa kupindukia. (Yeremia 51:6-8) Huku Babiloni yuadondoka chini, na huku Sayuni yuainuka! Lo, badiliko la ajabu kama nini! Kweli Sayuni anaweza kufarijiwa na tazamio hilo. Na watumishi wa Yehova wanaweza kuwa na uhakikisho wa kwamba jina lake litatakaswa kupitia matendo yake ya kuokoa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki