Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Imbeni Pamoja kwa Shangwe’!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Maana hamtatoka kwa haraka [“kubabaika kwa hofu,” “NW”], wala hamtakwenda kwa kukimbia, kwa sababu BWANA atawatangulia; na Mungu wa Israeli atawafuata nyuma; awalinde.” (Isaya 52:11, 12)

  • ‘Imbeni Pamoja kwa Shangwe’!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isitoshe, Yehova anawatangulia, kwa hiyo si lazima wababaike kwa hofu, wala si lazima wapige mbio kwa bumbuazi, kana kwamba watu wenye hamu ya kumwaga damu wanatifua vumbi wakiwafuata hima-hima. Mungu wa Israeli yuko kama mlinzi nyuma yao.—Ezra 8:21-23.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki