Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Ni Yehova”
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
    • Isaya 6:1-3

  • “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Ni Yehova”
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
    • Kisha Isaya anaona maono ambayo huenda hakuna mwanadamu mwingine ambaye amewahi kuyaona. Anaandika: “Maserafi walikuwa wamesimama juu yake [Yehova]. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita. Aliufunika uso wake kwa mawili, na kwa mawili aliifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka huku na huku.” (Mstari wa 2) Maserafi ni viumbe wa roho wenye cheo cha juu. Isaya ndiye mwandikaji pekee wa Biblia anayewataja. Maserafi huwa tayari sikuzote kufanya lolote ambalo Mungu anawataka wafanye. Wanajifunika uso na miguu yao kuonyesha kwamba wanamheshimu Yehova sana na pia kuonyesha kwamba ni pendeleo kubwa kutumika mbele zake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki