-
Yule Mwanamke Tasa AshangiliaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.
-
-
Yule Mwanamke Tasa AshangiliaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Basi, yafikirie maelezo ya kuvutia sana yanayotolewa kuhusu “Yerusalemu la juu.” Wazo linalotokezwa na mawe yake ya thamani juu ya malango, “chokaa ngumu” ya bei ghali, misingi yake, na hata mipaka yake ni kwamba yeye ana “uzuri, fahari, utakato, nguvu, na uimara,” kama vile kichapo kimoja cha marejezo kinavyosema. Ni nini kingewafanya Wakristo watiwa-mafuta wawe na hali ya usalama na baraka jinsi hiyo?
-
-
Yule Mwanamke Tasa AshangiliaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Isaya 54:12 inataja ‘mipaka ya mawe yapendezayo.’ Tangu mwaka wa 1919, Yehova amewapa watiwa-mafuta ufahamu unaozidi kuwa wazi daima juu ya mipaka—mistari ya kiroho isiyopasa kurukwa—akiwaweka kando wawe tofauti na dini ya uwongo na mambo ya ulimwengu yasiyo ya kimungu. (Ezekieli 44:23; Yohana 17:14; Yakobo 1:27) Kwa njia hiyo wanawekwa kando wawe watu wa Mungu mwenyewe.—1 Petro 2:9.
-