-
Wageni Wakusanywa Kwenye Nyumba ya Mungu ya SalaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Husema, Njoni, nitaleta divai, na tunywe sana kileo; na kesho itakuwa kama leo, sikukuu kupita kiasi.”—Isaya 56:10-12.
-
-
Wageni Wakusanywa Kwenye Nyumba ya Mungu ya SalaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
wanakunywa mno kileo, na kuwatia wengine moyo wafanye hivyo hivyo. Kwa sababu wamezubaa sana hivi kwamba hawatambui kuwa hukumu ya Yehova inakaribia, wanawaambia watu hakuna wasiwasi, mambo ni shwari.
22. Viongozi wa kidini wa siku za Yesu wanafananaje na wale wa Yuda ya kale?
22 Pale mwanzoni mwa unabii wake, Isaya alitumia semi kama hizo za mfano kueleza tabia za viongozi wa kidini wa Yuda wasio waaminifu—walilewa, wakasinzia, na kukosa ufahamu kwa njia ya kiroho. Walitwika watu mzigo wa mapokeo ya wanadamu, wakasema uwongo mwingi wa kidini, wakatumainia Ashuru iwasaidie badala ya kumtegemea Mungu. (2 Wafalme 16:5-9; Isaya 29:1, 9-14) Ni wazi kwamba hawajajifunza somo lo lote. Jambo la kuhuzunisha ni kwamba viongozi wa aina hiyo hiyo ndio waliokuwako karne ya kwanza. Badala ya kuzikubali habari njema walizoletewa na Yesu, Mwana wa Mungu mwenyewe, walimkataa wakatunga hila auawe. Yesu aliwaita “viongozi vipofu” bila kuwaficha, kisha akasema kwamba “ikiwa kipofu aongoza kipofu, wote wawili wataanguka ndani ya shimo.”—Mathayo 15:14.
-