Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ahuisha Roho ya Wanyenyekevu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kwa hiyo, Yehova anawauliza hivi watenda-dhambi hao: “Mnafanya dhihaka [“mnakula raha,” “NW”] yenu juu ya nani? Mmepanua vinywa vyenu, na kutoa ndimi zenu? je, ninyi si wana wa uasi, uzao wa uongo;

  • Yehova Ahuisha Roho ya Wanyenyekevu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 57:4,

  • Yehova Ahuisha Roho ya Wanyenyekevu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 4. Waovu wa Yuda wana hatia ya jambo gani?

      4 Waovu wa Yuda wanafanya ibada ya upagani yenye kuchukiza sana hadharani, ‘wakila raha.’ Wanawacheka-cheka manabii wa Mungu ambao wametumwa kuwarekebisha, wakiwatolea ndimi zao kwa madharau, bila aibu. Ingawa wao ni watoto wa Abrahamu, njia zao za uasi zinawafanya wawe wana wa uasi na uzao wa uwongo. (Isaya 1:4; 30:9; Yohana 8:39, 44)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki