-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
6 Kila mahali—chini ya miti mikubwa, katika mabonde ya mito, juu ya vilima, katika majiji yao—Yuda anaabudu sanamu. Lakini Yehova anaona yote, na anamtumia Isaya kufichua upotovu wa nchi hiyo: “Umeweka kitanda chako juu ya mlima mrefu ulioinuka sana; ukaenda huko ili kutoa dhabihu.
-
-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yuda anatandika kitanda chake chenye uchafu wa kiroho katika sehemu za juu, kisha anaitolea miungu ya kigeni dhabihu juu ya kitanda hicho.a
-
-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
a Inaelekea kwamba neno “kitanda” linamaanisha madhabahu ama mahali pa ibada ya kipagani. Mahali hapo panaitwa kitanda ili neno hilo liwe kikumbusha cha kwamba ibada hiyo ni ukahaba wa kiroho.
-