Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mungu Yumo Katika Hekalu Lake Takatifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 21-23. (a) Unabii wa Isaya katika karne ya kwanza ulitimizwa na akina nani, na jinsi gani? (b) Ni nani aliyekuwa “mbegu takatifu” katika karne ya kwanza, nayo ilihifadhiwaje?

      21 Kazi ya unabii ya Isaya ilifananisha kazi ambayo Mesiya, Yesu Kristo, angefanya yapata miaka 800 baadaye. (Isaya 8:18; 61:1, 2; Luka 4:16-21; Waebrania 2:13, 14) Ingawa alikuwa mkuu kuliko Isaya, Yesu alikuwa na utayari uleule wa kutumwa na Baba yake wa mbinguni, akisema: “Tazama! Nimekuja kufanya mapenzi yako.”—Waebrania 10:5-9; Zaburi 40:6-8.

  • Mungu Yumo Katika Hekalu Lake Takatifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 25. Mashahidi wa Mungu leo wametambua nini, nao huitikiaje?

      25 Vivyo hivyo, Mashahidi wa Yehova leo hutambua kwamba Yehova Mungu yumo katika hekalu lake takatifu. (Malaki 3:1) Kama vile Isaya, wao husema: “Mimi hapa, nitume mimi.” Wao hutangaza kwa bidii ujumbe unaotoa onyo juu ya mwisho unaokaribia wa mfumo huu wa mambo ulio mwovu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki