Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Unafiki Wafichuliwa!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Je, huo ndio mfungo unaonipendeza, ndiyo siku mtu anapojikatalia? Kuinama kichwa kama tete, kujilaza juu ya gunia au majivu? Ndiyo hayo usemayo ni mfungo, ni siku ya kumpendeza Bwana?”—Isaya 58:3-5, “Verbum Bible,” chapa ya 1996.

  • Unafiki Wafichuliwa!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Wanajaribu kuficha mwenendo wao kwa kujifanya-fanya eti wanaomboleza—huku wakiinamisha vichwa kwa kunyong’onyea kama matete yaliyodhoofika, kisha wanakalia magunia na majivu—eti wametubu dhambi zao. Hayo yote ni ya faida gani ikiwa wanaendelea kuasi? Hawaonyeshi majonzi yoyote wala toba ya kimungu inayopasa kuambatana na mifungo ya moyo mweupe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki