Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Unafiki Wafichuliwa!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 12. Yehova atafanya nini watu wake wakimtii?

      12 Laiti watu wa Yehova wangekuwa na ufahamu wa kina kirefu waweze kusikiza karipio lake lenye upendo! Yehova anasema hivi: “Ndipo nuru yako itakapopambazuka [“mtang’ara kama pambazuko,” “BHN”] kama asubuhi, na afya yako itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa BWANA utakufuata nyuma ukulinde.

  • Unafiki Wafichuliwa!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 58:8,

  • Unafiki Wafichuliwa!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hayo ni maneno ya kuchangamsha na kuvutia kama nini! Yehova huwabariki na kuwalinda wale wanaopendezwa na fadhili za upendo na haki. Watu wa Yehova wakitubu matendo yao yenye ukali na unafiki, kisha wamtii, mambo yao yatang’ara zaidi. Yehova atawapa “afya,” yaani taifa hilo litapona kiroho na kimwili. Vilevile atawalinda kama vile alivyowalinda baba zao wa zamani walipokuwa wakiondoka Misri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki