-
Unafiki Wafichuliwa!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa.” (Isaya 58:8, 9a)
-
-
Unafiki Wafichuliwa!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Tena atajibu vilio vyao vya msaada bila kukawia.—Kutoka 14:19, 20, 31.
13. Ni baraka zipi zinazowangoja Wayahudi ikiwa wataitikia himizo la Yehova?
13 Sasa Yehova anaongeza jambo jingine kwenye himizo lake lililotangulia. Anasema hivi: “Kama ukiiondoa nira [ya utumwa mkali sana, wenye dhuluma]; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole [yawezekana kwa madharau au mashtaka ya uwongo], wala kunena maovu;
-