-
Unafiki Wafichuliwa!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
na kama ukimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi yako, na kuishibisha nafsi iliyoteswa; ndipo nuru yako itakapopambazuka gizani; na kiwi chako kitakuwa kama adhuhuri.” (Isaya 58:9b, 10)
-
-
Unafiki Wafichuliwa!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata hivyo, matendo ya fadhili na ukarimu hubarikiwa sana na Mungu, hasa iwapo wanaotendewa hayo ni wenye njaa na wenye kuteseka. Laiti Wayahudi wangezitia maanani kweli hizo! Ndipo uangavu na ufanisi wao wa kiroho ungeng’aa kama jua la adhuhuri na kufukuzia mbali giza lolote. Zaidi ya yote, Yehova, aliye Chanzo cha utukufu wao na baraka zao, angeheshimiwa na kusifiwa.—1 Wafalme 8:41-43.
-