-
Mungu Yumo Katika Hekalu Lake TakatifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
15, 16. (a) Isaya apaswa kuwaambia nini “watu hawa,” nao wataitikiaje? (b) Je, itikio la watu hao lasababishwa na kosa fulani la Isaya? Eleza.
15 Yehova sasa atoa muhtasari wa mambo ambayo Isaya apaswa kusema na vile yatakavyopokewa: “Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione.
-
-
Mungu Yumo Katika Hekalu Lake TakatifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Je, hayo yamaanisha kuwa Isaya apaswa kusema kwa kutojali na kukosa busara na kuwavunja moyo Wayahudi, hivyo awatenganishe na Yehova? Hata kidogo! Hao ni watu wa Isaya mwenyewe naye ana huruma ya kidugu kwao. Lakini maneno ya Yehova yaonyesha namna watu watakavyoupokea ujumbe wake, haidhuru ni kwa uaminifu jinsi gani Isaya atimiza kazi yake.
16 Watu ndio wenye lawama. Isaya ‘atafuliza’ kusema nao, bali hawataukubali ujumbe huo wala kupata ufahamu.
-