-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.”—Isaya 59:1, 2.
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata hivyo, hawabariki wakosaji. Watu hao wenyewe ndio wamefanya Yehova awatenganishe naye. Uovu wao wenyewe umemfanya afiche uso wake wasiuone.
-