Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mungu Yumo Katika Hekalu Lake Takatifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Uunoneshe moyo wa watu hawa, ukayatie uzito masikio yao, ukayafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.” (Isaya 6:9, 10)

  • Mungu Yumo Katika Hekalu Lake Takatifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Wengi wao watakuwa wakaidi na wasioitikia, kama vipofu na viziwi kabisa. Kwa kufuliza kuwaendea, Isaya atawaruhusu “watu hawa” waonyeshe kuwa hawataki kufahamu. Watathibitisha kuwa wanafunga akili na mioyo yao zisisikie ujumbe wa Isaya—ujumbe wa Mungu—kwao. Jinsi watu leo walivyo vivyo hivyo! Wengi sana kati yao hukataa kuwasikiliza Mashahidi wa Yehova wahubiripo habari njema ya Ufalme wa Mungu unaokuja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki