-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
10. Isaya anafanya ungamo gani kwa niaba ya Yuda?
10 Yehova hawezi kuzibariki njia za Yuda zilizo kombokombo na zenye uharibifu. (Zaburi 11:5) Hivyo basi, akiongea kwa niaba ya taifa zima, Isaya anaungama hatia ya Yuda: “Hukumu ya haki i mbali nasi, wala haki haitufikilii; twatazamia nuru, na kumbe! latokea giza; twatazamia mwanga, lakini twaenda katika giza kuu.
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wayahudi hawajaacha Neno la Mungu liwe taa kwa miguu yao na mwanga kwa njia yao. (Zaburi 119:105) Matokeo ni kwamba, mambo yao yanaonekana kuwa yenye giza.
-