-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Sisi sote twanguruma [“tunaendelea kuguna,” “NW”] kama dubu; twaomboleza kama hua.” (Isaya 59:9-11a)
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wanatamani sana kitulizo, kwa hiyo wanaguna kwa sauti kubwa kama madubu wenye njaa au waliojeruhiwa. Wengine wao wanalia-lia kwa kuomboleza kama njiwa wapweke.
11. Kwa nini matumaini ya Yuda ya kupata haki na wokovu ni ya bure?
11 Isaya anajua vizuri sana kwamba shida za Yuda zimetokana na kumwasi Mungu. Anasema hivi: “Twatazamia hukumu ya haki, lakini hapana; na wokovu, lakini u mbali nasi.
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kwa kuwa wakaaji wa Yuda hawajatubu, bado wanahesabiwa ubaya wa dhambi walizotenda. Haki imeondoka nchini kwa sababu watu wamemwacha Yehova.
-