-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
katika kukosa na kumkana BWANA, na katika kugeuka tusimfuate Mungu wetu, tukinena jeuri na uasi, na kukusudia maneno ya uongo na kuyatoa moyoni.” (Isaya 59:11b-13)
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Haki imeondoka nchini kwa sababu watu wamemwacha Yehova. Wamekuwa waongo wa mwisho, hata huwakandamiza ndugu zao. Ni sawasawa kabisa na wale waliomo katika Jumuiya ya Wakristo leo! Si kwamba tu wengi wanapuuza haki, bali pia wanawanyanyasa Mashahidi waaminifu wa Yehova wanaojaribu kufanya mapenzi ya Mungu.
-