-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ubaya zaidi ni kwamba, wanaona ni rahisi kuwanasa watu wowote wanaojaribu kutenda mema kwa moyo mweupe. Tunasoma hivi: “Kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka.”—Isaya 59:15a.
13. Yehova atafanya nini kwa kuwa mahakimu wa Yuda wanafanya kazi yao kizembe?
13 Wale wanaoshindwa kutoa sauti ya kupinga upotovu wa maadili wanasahau kwamba Mungu si kipofu, si mjinga, wala si mnyonge. Isaya anaandika hivi: “BWANA akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki.
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Lakini unabii wa Isaya unaonyesha kwamba Yehova hufuatilia kwa makini mambo ya kibinadamu.
-