Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Baruku Mwandishi Mwaminifu wa Yeremia
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
    • Isitoshe, simulizi la Yeremia sura ya 36, ambalo tutachunguza kwa undani, linadokeza kwamba Baruku angeweza kuwasiliana na washauri wa mfalme na kuruhusiwa kutumia chumba cha kulia chakula, au chumba cha kukutania, cha Gemaria, ambaye alikuwa mkuu au ofisa. Msomi wa Biblia James Muilenberg anatoa hoja hii: “Baruku angeweza kuingia katika chumba hicho cha kukutania cha mwandishi huyo kwa sababu alistahili kuwa hapo na alikuwa mmoja wa maofisa wa mfalme ambao walikutana wakati wa lile tukio muhimu ambapo kitabu cha kukunjwa kilisomwa hadharani. Akiwa hapo, alikuwa kati ya wafanyakazi wenzake.”

  • Baruku Mwandishi Mwaminifu wa Yeremia
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
    • Lakini mnamo Novemba au Desemba mwaka wa 624 K.W.K., kwa ujasiri Baruku “akaanza kusoma kwa sauti katika kile kitabu maneno ya Yeremia kwenye nyumba ya Yehova, ndani ya chumba cha kulia chakula cha Gemaria . . . , masikioni mwa watu wote.”—Yeremia 36:8-10.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki