-
‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
-
-
4. Ezekieli apelekwa wapi mwanzoni mwa ono lake, ni nini anachoona huko, na ni nani anayempeleka kwenye ziara hiyo ya kuongozwa?
4 Kwanza, Ezekieli aletwa kwenye “mlima mrefu sana.” Juu ya mlima huo upande wa kusini pana hekalu kubwa sana, mfano wa jiji lenye kuta.
-