-
Lile “Hekalu” na Yule “Mkuu” LeoMnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
-
-
Miali ya nuru inayopenyeza kutoka madirishani yamulika michoro ya mitende iliyo ukutani, ambayo hutumiwa katika Maandiko kufananisha unyofu. (Zaburi 92:12; Ezekieli 40:14, 16, 22) Mahali hapo patakatifu ni pa wale walio wanyofu kiadili na kiroho.
-
-
Lile “Hekalu” na Yule “Mkuu” LeoMnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
-
-
Mitende yaonyeshwa katika maono yote mawili. Katika ono la Ezekieli hiyo yapamba kuta za kijia cha kuingilia. Katika ono la Yohana waabudu wana matawi ya mitende mikononi mwao, ikionyesha shangwe yao katika kumsifu Yehova na kumkaribisha Yesu akiwa Mfalme wao. (Ufunuo 7:9-15)
-