-
Aokolewa Asiliwe na Simba!Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
18 “Ee mfalme, uishi milele.” Kwa salamu hiyo yenye staha, Danieli alionyesha kwamba hakuwa na uhasama kumwelekea mfalme. Alitambua kwamba matatizo yake hayakutokana na Dario, bali yalitokana na mawaziri na maliwali wenye husuda. (Linganisha Mathayo 5:44; Matendo 7:60.)
-