-
Ni Nani Atakayeutawala Ulimwengu?Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
MZEE WA SIKU AHUKUMU
33. (a) Mzee wa Siku ni nani? (b) Ni ‘vitabu gani vilivyofunuliwa’ katika Mahakama ya kimbingu?
33 Baada ya kuwatambulisha wale wanyama wanne, Danieli aacha kumwangalia mnyama wa nne na kuona kikao mbinguni. Aona Mzee wa Siku ameketi katika kiti chake chenye utukufu akiwa Hakimu. Mzee wa Siku si mwingine ila Yehova Mungu. (Zaburi 90:2)
-