Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ni Nani Atakayeutawala Ulimwengu?
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • Na kwa habari za wale wanyama wengine, walinyang’anywa mamlaka yao; walakini maisha yao yalidumishwa kwa wakati na majira.” (Danieli 7:11, 12)

  • Ni Nani Atakayeutawala Ulimwengu?
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • Hata hivyo, vipi juu ya tawala zilizotokana na serikali za awali zilizofananishwa na mnyama? Kama ilivyotabiriwa, maisha yao yalidumishwa “kwa wakati na majira.” Maeneo yao yameendelea kuwa na watu hadi leo. Kwa mfano, Iraki iko kwenye eneo la Babiloni ya Kale. Uajemi (Iran) na Ugiriki zingaliko. Mabaki ya serikali hizo za ulimwengu ni sehemu ya Umoja wa Mataifa. Falme hizo pia zitaangamia serikali ya ulimwengu ya mwisho itakapoangamizwa. Serikali zote za kibinadamu zitafutiliwa mbali kwenye “vita ya siku kubwa ya Mungu Mweza-Yote.” (Ufunuo 16:14, 16)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki